MASHEIKH WA UAMSHO WASIMULIA MATESO WALIYOKUTANA NAYO.

Baada ya kutoka gerezani, Masheikh wa uamsho wasimulia mateso na maisha ya gerezani kwa miaka saba.